alt text

Anti-Addiction Capsule


Viungo:


Radix Notoginseng extract, Polygala Tenuifolia extract, Radix Aconiti Lateralis extract, Rhizoma Corydalis extract, Radix Et Rhizoma Ginseng extract.

anti-addiction capsule

Kazi na Faida Zake:



Maelezo Muhimu:

Polygala Tenuifolia Extract (Yuan Zhi):
Polygala tenuifolia huzisaidia seli kwa namna nyingi ikiwa ni pamoja na katika mawasiliano, urutubishaji, kujigawa kwa haraka, kujitofautisha, na kufa kwa neurons, hata ndani ya ubongo wenye dosari.

mmea wa polygala



Radix Notoginseng Extract(San Qi):
Matumizi ya madawa kwa kawaida husababisha uharibifu wa ubongo (ischemic damage), na hata stroke. Zaidi ya saponins 20 na elementi adimu 17, pamoja na protini, vitamini, na polysaccharides, zimekamuliwa kutoka kwenye mmea huu. Notoginsenoside R1, ambayo ni saponin muhimu ya panax notoginsenoside, huulinda ubongo dhidi ya ischemia na hypoxia.

mmea wa notoginseng



Radix Aconiti Lateralis Extract (Fuzi):
Mmea huu una asili ya tabia ya kusisimua. Husambaza nguvu ya Yin na kuongeza mtiririko wa Yang. Tiba za kichina zenye mchanganyiko wa Fuzi zimeleta matokeo katika kuwatibu wagonjwa wa mfadhaiko. Fuzi polysaccharide-1 inafanya kazi haraka kama dawa ya kuondoa mfadhaiko kuliko imipramine, anti-depressant iliyozoeleka.

mmea wa notoginseng



Rhizoma Corydalis Extract (Yan Hu Suo):
Corydalis ni mmea ambao hutumika katika tiba ya kichina kwa ajili ya kuondoa maumivu. Mchanganyiko uitwao, dehydrocorybulbine (DHCB), umebainika kuhusika na uwezo wa kuondoa maumivu wa mmea huu. Unaweza kuzuia vichocheo vya maumivu ndani ya ubongo. Corydalis hutumika kwa mfadhaiko usio mkali, matatizo ya akili yasiyo makali, matatizo ya hisia, uharibifu mkubwa wa neva, na kutetemeka kwa mikono na miguu.

mmea wa rhizoma corydalis



Radix Et Rhizoma Ginseng Extract:
Ginseng hufanya kazi sambamba na mfumo wa NPY (mfumo wa kudhibiti uwiano wa nishati na hamu ya kula), inaweza kuondoa hali itokeayo baada ya kuachishwa kitu ulichozoea (withdrawal symptoms) na kuzuia urudiaji. Utafiti kwa wanyama umeonyesha kuwa ginseng inaweza kuzuia upunguaji mkubwa wa dopamine ndani ya ubongo unaotokana na matumizi ya madawa ya kulevya.


mmea wa ginseng




anti-addiction capsule





<<<<< MWANZO